Kenya: Haki za wanawake kurithi mali hazijalindwa

Wanawake wengi nchini Kenya wameendelea kukosa haki za kudai mali walizochuma wakiwa katika ndoa, licha ya kuwepo hatua kadhaa katika sheria zilizondikwa. Human Rights Watch na Chama cha Wanawake Wanasheria (FIDA-Kenya) wamesema katika taarifa yao iliyotolewa leo.

News