Shirika la Matibabu la Kimataifa Yalaani Uchunguzi wa Njia ya Haja Kubwa wa Lazima
Madaktari, wataalamu wa matibabu na vyama vya kitaifa vya matibabu hawana budi kutii maazimio ya Shirika la Matibabu la Kimataifa ya Oktoba 2017 juu ya kusitisha uchunguzi wa lazima wa njia ya haja kubwa, kwa watu wanaoshutumiwa kujihusisha na vitendo vya kushiriki mapenzi ya jinsia moja, Human Rights Watch wamesema haya hii leo