Tigisi, (si jina halisi) sasa ana miaka 12, alilazimishwa kuolewa akiwa na miaka 9, lakini sasa anahudhuria shule ya bweni kwa msaada wa NAFGEM, shirika la mahalia. Simanjiro, Tanzania. Agosti 9, 2014.