2013_kenya_YouAreAllTerrorists.jpg

Wanawake Wasomali na watoto waliokuwa wakitoroka kutoka kwao katika mtaa wa Eastleigh, ambao wakazi wake wengi ni Wasomali, mnamo tarehe 20 Novemba, 2012 siku mbili baada ya matwana moja kushambuliwa na wasiojulikana hatua iliyofanya magenge kuandamana na kuwashambulia wakimbizi kutoka Somalia na Wakenya wenye asili ya Kisomali. Polisi waliweza kuzima maandamano hayo lakini kwa muda wa wiki kumi iliwatesa wakimbizi, waliotafuta kimbilio na Wakenya wenye asili ya Kisomalia zaidi ya 1000 pamoja na kukiuka haki zao nyingine.

© 2012 REUTERS/Noor Khamis