Asma, 24, alisema kufuatia miezi kadhaa ya kutengwa na kunyanyaswa akiwa anafanya kazi kama mtumishi wa ndani huko Oman:  “Nilijiskia kuchanganyikiwa.” Anasema ilimchukua miezi mingine mitatu kurudia hali yake ya kawaida baada ya kurudi Tanzania. Dar es Salaam, Tanzania.