Ripoti ya matibabu iliyojazwa na daktari Kampla, Uganda baada ya kufanya uchunguzi wa lazima wa njia ya haja kubwa kwa mtu anaeshukiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja kwa hiari.