Mwandishi wa habari nchini Kenya akishiriki katika maandamano katika mji mkuu, Nairobi dhidi ya sheria mpya ya kibabe inayokandamiza uhuru wa vyombo vya habari iliyowasilishwa bungeni, tarehe 3 Desemba 2013.