Mashine zilizokuwa zikitumika na wanafunzi wenye ulemavu wa macho zikiwa zimeharibika na kuweka katika kabati katika shule ya sekondari kwa watoto wenye ulemavu mkoani Shinyanga, kaskani mwa Tanzania. Shule nyingi za sekondari zinakosa vifaa vya msaada wa ufundishaji unaohitajika kuwezesha elimu kupatikana kwa wanafunzi wote kwa usawa.