Wanafunzi wa kike katika shule ya sekondari huko Mwanza, ambao ni walemavu wa macho, wakiongozwa na waalimu wao kushuka kilima kikali na chenye kuteleza. Wanafunzi hawa hutembea katika ardhi yenye milima na mabonde kutoka shuleni kuelekea katika mabweni ya shule.