Msichana akionyesha alama miguuni kwake zilizotokana na kuchapwa viboko mara kwa mara na walimu shuleni kwake. Aliwaambia Human Rights Watch: “Tuna alama miguuni, wanatupiga mikononi, wanatupiga kichwani”.