Fimbo ya mianzi ambayo hutumika na walimu kuchapa wanafunzi darasani ikiwa juu ya dawati katika shule ya sekondari huko Mwanza, Kaskazini-Magharibi mwa Tanzania. Human Rights Watch waligundua kwamba walimu wengine huwachapa wanafunzi na fimbo au hata kwa kutumia mikono yao au vitu vingine.