‘’Adam’’ [jina bandia] aliyekamatwa na kushtakiwa kutokana na uvumi kwa ‘’hatia ya kushiriki vitendo vinavyokwenda kinyume na maumbile’’ akipekua hati za polisi.