Fatma W. na mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka saba aliyezaliwa baada ya Fatma kubakwa na kundi la wanaume watatu katika nyumba yao, Nairobi. Wanaume wale walimshtaki kuwaficha  wanaume kutoka katika jamii/kabila “adui”. Aliacha kuenda shuleni baada ya kubakwa. Fatma alisema kuwa majirani zake humshutumu mtoto wake kwa kuwa alizaliwa kutokana na ubakaji.