Skip to main content
Mamlaka yavibana Vyama vya Upinzani, Vikundi vya Haki na Vyombo vya Habari

(Nairobi) – Mamlaka nchini Tanzania zimeongeza ukandamizaji dhidi ya vyama vya upinzani, taasisi zisizokuwa za kiserikali na vyombo vya habari kuelekea uchaguzi mkuu nchini humo unaotarajiwa kufany

Tanzania authorities have stepped up repression of opposition parties, nongovernmental organizations, and the media ahead of the country’s general elections on October 28, 2020, Human Rights Watch said today.

Licha ya Michuano ya Kombe la Dunia la Soka kukaribia, serikali bado kutekeleza mageuzi makuu iliyoahidi

Juhudi za serikali ya Qatar kulinda haki za wafanyakazi wasio raia katika kulipwa ujira wao ifaavyo na kwa wakati ufaao zimegonga mwamba, shirika la Human Rights Watch limesema leo kwenye ripoti iliyoandamana na kanda ya video.

Serikali yashindwa kutoa msaada muhimu na unaohitajika

(Nairobi) –  Mwenendo wa polisi kutumia nguvu kupita kiasi na kuharibu mali kwenye oparesheni ya kuwaondoa wakazi katika msitu wa Mau, eneo la Rift Valley, na ukosefu wa msaada kwa waliofurushwa vi

Mwenendo wa polisi kutumia nguvu kupita kiasi na kuharibu mali kwenye oparesheni ya kuwaondoa wakazi katika msitu wa Mau, eneo la Rift Valley, na ukosefu wa msaada kwa waliofurushwa vimesababisha vifo na hangaiko kwa wakazi wengi waliondolewa, Shirika la Human Rights Watch (HRW) limesema leo.

Licha ya Sheria, Mazoea ya Upendeleo yanaendelea

Wanawake wengi nchini Kenya wameendelea kukosa haki za kudai mali walizochuma wakiwa katika ndoa, licha ya kuwepo hatua kadhaa katika sheria zilizondikwa. Human Rights Watch na Chama cha Wanawake Wanasheria (FIDA-Kenya) wamesema katika taarifa yao iliyotolewa leo.

Kuhakikisha ufikiwaji wa Wanasheria, Kupunguza msongamano katika Magereza

(Kampala) – Serikali ya Tanzania inapaswa kuwaruhusu wafungwa wote kupata ushauri  wa kisheria ili kuhakikisha haki zao zinaheshimiwa kipindi hiki cha janga la Covid-19, Human Rights Watch wamesema

Serikali ya Tanzania inapaswa kuwaruhusu wafungwa wote kupata ushauri wa kisheria ili kuhakikisha haki zao zinaheshimiwa kipindi hiki cha janga la Covid-19, Human Rights Watch wamesema hii leo.