202208crd_africanunion_illustration_StudentatHome

Wasichana wajawazito na wale ambao ni wazazi hulazimika kuondoka shuleni na kusalia nyumbani. Kutokana na unyanyapaa unaotokea msichana anapopata mtoto akiwa hajaolewa, baadhi ya wasichana hushinikizwa na familia zao kuacha masomo ili wasionekane hadharani kwa dhana kwamba wanaziletea familia zap fedheha. Wengi hulazimishwa kuolewa. Punde baada ya kujifungua, wasichana wengi mara nyingi hujipata na majukumu mengi ya kinyumbani na hupata ugumu kurudi shule hasa pale wanapokosa usaidizi.

© 2022 Ojima Abalaka kazi ya Human Rights Watch