202208crd_africanunion_illustration_PrivateRoom

Baadhi ya nchi barani Afrika zimeweka sera kuhimiza shule kuwafadhili wanafunzi ambao ni wazazi kwa kuwapa mabweni mahsusi yanayowafaa kuwatunza watoto huku wakisoma. Ufadhili huu unajumuisha muda ufaao, sehemu za faragha za kuwanyonyesha watoto, kupata nafasi ya kuwatunza watoto wakiugua na kuhudhuria kliniki kupima hali ya afya ya watoto.

© 2022 Ojima Abalaka kazi ya Human Rights Watch