202208crd_africanunion_illustration_Homeschooling

Kwenye baadhi ya nchi, wanafunzi wajawazito au wale ambao ni wazazi wanaweza tu kuendelea na masomo kupitia mipango ya kusomea nyumbani. Wanafunzi wenye hamu ya masomo yafaa wawe na uhuru wa kuamua iwapo watahudhuria masomo shuleni au waamue kusomea nyumbani kupitia mipango inayohakikisha viwango bora iwe wanasomea nyumbani au  njia nyinginezo zinazowapa nafasi sawa na shule.

© 2022 Ojima Abalaka kazi ya Human Rights Watch