202208crd_africanunion_illustration_DroppedOut

Wanafunzi wanaopata mimba au wale ambao ni wazazi mara nyingi huacha shule kwa sababu ya unyanyapaa, ubaguzi na itikadi potevu kuhusu mimba za mapema. Hali hii imeenea sana katika nchi zisizo na sheria au mbinu za kulinda haki za wasichana. Nchi hizi pia zinakosa miongozo kuhusu wasichana kuendelea na masomo, na mara nyingi walimu na wakuu wa shule ndio huchukua jukumu la kuamua mustakabali wa masomo ya msichana mhusika.

© 2022 Ojima Abalaka kazi ya Human Rights Watch