202208crd_africanunion_illustration_Classmates

Wasichana wajawazito na wale ambao ni wazazi hukumbwa na unyanyapaa wa viwango vya juu hasa miongoni mwa rika lao shuleni, vilevile kejeli kutoka kwa walimu na katika jamii wanazoishi. Ukosefu wa maelekezo kuhusu heshima za kijinsia shuleni, na ubaguzi pia huchangia pakubwa katika wanafunzi waliojipata kwenye tatizo hilo kuacha shule au wengine kuhofia kurejea baada ya kujifungua.

© 2022 Ojima Abalaka kazi ya Human Rights Watch