Samia Suluhu Hassan, katikati, ameweka historia kwa kuapishwa kuwa Rais wa Kwanza Mwanamke nchini Tanzania, sherehe za uapisho zilifanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, Machi 19, 2021