Rais wa Burundi Évariste Ndayishimiye (kushoto) na Rais wa Tanzania John Magufuli walipokutana Kigoma, kaskazini magharibi mwa Tanzani, tarehe 19 Septemba 2020. Ilikuwa ni safari ya kwanza ya anje ya nchi ya Ndayishimiye tangu alipochaguliwa kuwa rais mwezi May 2020.