Annet Negesa mwanariadha wa Uganda, anaishikilia picha yake ya kushiriki mashindano ya dunia yaliyofanyika jijini Daegu nchini Korea Kusini mwaka 2011. Negesa alilengwa chini ya masharti ya kupima jinsia na kuagizwa kufanyiwa upasuaji usiohitajika mwaka 2012.

© 2020 Cagla Dincer, Shirika la Human Rights Watch