201910AFR_tanzania_swa

Mkazi wa Arusha Tanzania akisoma gazeti la Kiingereza The Citizen. Habari katika kurasa wa mbele inasema Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda awatishia wafanyakazi wa kituo cha luninga Machi 2017. Makonda alivamia kituo hicho akiwa na walinzi wenye silaha na kuwalazimisha wafanyakazi kurusha habari yake katika luninga.

© 2017 STRINGER/AFP/Getty Images