Mchoro wa Shirika la Maendeleo ya Jamii la Rafiki, ukiwa umewekwa nje ya ofisi zao wilaya ya Kahama, Shinyanga, Tanzania. Mchoro unalenga kutoa uelewa kuhusu unyanyasaji wa kijinsia kwa wasichana wakiwa njiani kwenda shule, unamuonyesha mwanafunzi wa kike akikataa kupokea pesa kutoka kwa mtu mzia, akisema “Sidanganyiki” au “I cannot be deceived” kwa Kiingereza.