“Harriet,” 17, kutoka kaunti ya Migori, magharibi mwa Kenya, aliacha shule mwaka wa kwanza wa shule ya sekondari ngazi ya chini alipopata mimba.

“Harriet,” 17, kutoka kaunti ya Migori, magharibi mwa Kenya, aliacha shule mwaka wa kwanza wa shule ya sekondari ngazi ya chini alipopata mimba. Hakupata taarifa au ushauri kuhusu sera ambazo zinamruhusu kuendelea kwenda shule akiwa mjamzito. Anataka kuendelea kusoma ili apate kazi na kumhudumia mtoto wake

© 2018 Smita Sharma kwa ajili ya Human Rights Watch