“Evelina,” 17, na mtoto wake wa miaka 3 “Hope,” katika kaunti ya Migori, magharibi mwa Kenya.

“Evelina,” 17, na mtoto wake wa miaka 3 “Hope,” katika kaunti ya Migori, magharibi mwa Kenya. Evelina yuko kidato cha 2, mwaka wa pili wa shule ya sekondari ngazi ya chini. Baada ya mtoto wake kuzaliwa, rafiki yake alimhamasisha kurudi shule. Ijapokuwa Evelina hawezi kumudu kulipa ada, mwalimu mkuu wa shule amemkubalia kuendelea na shule.

© 2018 Smita Sharma kwa ajili ya Human Rights Watch