Maafisa wa polisi, kwenye barabara ya Likoni, wakijaribu kuwatawanya wafwasi wa kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga wa muungano wa National Super Alliance (NASA). Walikuwa wakiwazuia wafwasi hao kufika eneo la kati la Jiji la Nairobi, Kenya, Ta

Maafisa wa polisi, kwenye barabara ya Likoni, wakijaribu kuwatawanya wafwasi wa kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga wa muungano wa National Super Alliance (NASA). Walikuwa wakiwazuia wafwasi hao kufika eneo la kati la Jiji la Nairobi, Kenya, Tarehe 17 Novemba mwaka 2017. 

© REUTERS/Thomas Mukoya