Mwajuma H., 27, alisema mwaka 2015 alikimbilia ubalozi wa Tanzania nchini Oman baada ya mwajiri wake kumnyanyasa kimwili na kutokumlipa mshahara.

Mwajuma H., 27, alisema mwaka 2015 alikimbilia ubalozi wa Tanzania nchini Oman baada ya mwajiri wake kumnyanyasa kimwili na kutokumlipa mshahara. Ubalozi ulikubali wakala wake amchukua kwa makubaliano kwamba watamrudisha nyumbani licha ya Mwajuma kulalamika kwamba wakala huyo hupiga wanawake. Wakala alimlazimisha kufanya kazi na mwajiri mpya bila malipo. Dar es Salaam, Tanzania.

© 2017 Rothna Begum/Human Rights Watch