Dotto B., 32, alisema mwajiri wake Oman alimyanyasa kimwili, alimlazimisha kufanya kazi kwa saa 20 kwa siku bila mapumziko wala siku ya mapumziko, na alimlipa Riyali 50 ($130) badala ya Riyali 80 ($208).

Dotto B., 32, alisema mwajiri wake Oman alimyanyasa kimwili, alimlazimisha kufanya kazi kwa saa 20 kwa siku bila mapumziko wala siku ya mapumziko, na alimlipa Riyali 50 ($130) badala ya Riyali 80 ($208) kwa mwezi kama ilivyo kwenye mkataba. Mwanza, Tanzania.

© 2017 Rothna Begum/Human Rights Watch