Deograsia Vuluwa, Mkurugenzi wa Jinsia, Wanawake na Watoto katika Chama cha Wafanyakazi wa Ndani, Mahotelini na Uhifadhi wa Tanzania (CHODAWU).

Deograsia Vuluwa, Mkurugenzi wa Jinsia, Wanawake na Watoto katika Chama cha Wafanyakazi wa Ndani, Mahotelini na Uhifadhi wa Tanzania (CHODAWU), mtetezi  anaehimiza Tanzania kutoa ulinzi bora kwa watumishi wa ndani wa Kitanzania wanaofanya kazi  Mashariki ya Kati. CHODAWU pia inafanya kampeni ya Tanzania kupitisha Mkataba wa ILO wa Watumishi wa Ndani. Dar es Salaam, Tanzania.

© 2017 Rothna Begum/Human Rights Watch