​Cecilia, 22, alisema akiwa Oman alikuwa akifanya kazi kwa saa 16 kwa siku bila mapumziko wala siku ya mapumziko, na alikuwa akilipwa Riyali 60 badala ya Riyali 100 ambazo wakala wake alimuahidi.

Cecilia, 22, alisema akiwa Oman alikuwa akifanya kazi kwa saa 16 kwa siku bila mapumziko wala siku ya mapumziko, na alikuwa akilipwa Riyali 60 badala ya Riyali 100 ambazo wakala wake alimuahidi. Anasema mwajiri wake alimtaka kimapenzi lakini alipomkataa alimpiga.. Dar es Salaam, Tanzania. 

©2017 Sophie Stolle