Mkalimani akionyesha kovu kichwani kwa “Basma N.” Basma alisema mtoto wa mwajiri wake aliwasha feni la juu wakati akiwa anasafisha juu ya kabati la vyombo. Feni ilimpiga kichwani kisha akaanguka chini.

Mkalimani akionyesha kovu kichwani kwa “Basma N.” Basma alisema mtoto wa mwajiri wake aliwasha feni la juu wakati akiwa anasafisha juu ya kabati la vyombo. Feni ilimpiga kichwani kisha akaanguka chini. Huku akiwa anavuja damu nyingi kutokana na kuumia kichwani, alikimbilia ubalozi wa Tanzania. . Dar es Salaam, Tanzania.

© 2017 Rothna Begum/Human Rights Watch