Maafisa wa usalama waliokuwa wamejihami waliwatazama waandamanaji waliokuwa wakiandamana dhidi ya serikali wakati wa sherehe za kitamaduni za Irreechaa huko Bishoftu, Uhabeshi tarehe mbili Octoba 2016.