Tanzanian riot police in Dar es Salaam.
Polisi wa kutuliza ghasia nchini Tanzania wakiwatawanya waandamanaji wakati wa maandamano yenye ghasia yaliyoharibu uchaguzi kufuatia kuenguliwa kwa wagombea wawili wakuu wa upinzani jijini Dar es Salaam, Tanzania, Oktoba 29, 2025.
© 2025 REUTERS/Onsase Ochando