Polisi wa kukabili ghasia wawatawanya wafwasi wa muungano wa upinzani Azimio La Umoja, wakati wa maandamano ya kulalamikia kupanda kwa gharama ya maisha na makosa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2022, mtaani Mathare jijini Nairobi, Machi 27, 2023.
© 2023 REUTERS/John Muchucha