Mwanaume mmoja akichunga mifugo yake

Mwanaume mmoja akichunga mifugo yake kuelekea kwenye malisho na kutafuta maji katika wilaya ya Ngorongoro, mkoa wa Arusha, Tanzania, mnamo Oktoba 25, 2019.

© 2019 Nichole Sobecki / VII / Redux