Familia zikitoroka Ardamata Darfur Magharibi kuingia Adre, nchini Chad, kufuatia msururu wa vurugu za kikabila. Tarehe 7 Novemba. Manusura walielezea visa vya watu kuuawa na uporaji katika eneo la Ardamata, uliofanywa na jeshi la Rapid Support na wanamgambo wa kiarabu wanaoliunga mkono