
Afisa wa polisi wa kitengo cha kukabili ghasia afyatua kitoza machozi dhidi ya waandamanaji wakati wa mkutano uliotishwa na kiongozi wa upinzani Raila Odinga kupinga gharama ya juu ya maisha jijini Nairobi, Jumatatu, Machi 27, 2023.
© 2023 Picha za AP/ Patrick Ngugi