
Maofisa wa usalama wa Tanzania wakiingilia mkutano wa jamii kata ya Ololosokwan, Arusha, Tanzania, tarehe 9 Juni, 2022, wakati wakazi walipokuwa wanajadili hatua ya serikali kutenga eneo la hifadhi ya wanyama pori ambalo litawazuia watu kufika nyumbani kwao, katika ardhi yao na katika vyanzo vya maji.
© 2022 Binafsi.