Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan (katikati), akikagua walinzi wa heshima baada ya kuapishwa katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, Tanzania, Machi 19, 2021.
© 2021 AP Photo